04 May, 2015

Mwenye nacho ameongezewa..hata kama asingepata hizo pesa bado angeweza kuishi maisha ya kifahari

cri
Mwenye nacho ameongezewa..hata kama asingepata hizo pesa bado angeweza kuishi maisha ya kifahari yale yale ambayo anaishi sasa hivi. Lakini ndio hivyo alikua nacho na ameongezewa.
Baada ya kushinda pambano lake wachambuzi wamekaa kuchambua kipato chake kwa kulinganisha na mambo mbalimbali kama hivi.

Cristiano Ronaldo na Mayweather ni marafiki lakini kama akiamua kumlipa kutokana na pesa alizopata kwenye MayPac anaweza kumchezesha Ronaldo mechi 49,292 kutokana na mshahara wa sasa wa Ronaldo. Unaambiwa mshahara wa Cristiano wa wiki bwana Mayweather aliuingiza kwa sekunde 4.
Kununua timu ya Real Oviedo, timu hii inauza share zake kwenda kwa mtu yoyote. Sasa kama Mayweather angeamua kuzinunua basi angeweza kuinunua timu nzima ambayo ni karibia €11 (about £8.14)
Kununua Tokyo, jiji hili ni sehemu ambayo ina gharama kubwa sana kununua reak estate. Inakaribia  £1,200 kwa square metre. Kwa mtonyo wa Mayweather angeweza kununua karibia square metre 97,129 ambayo ni karibi sehemu kubwa ya Tokyo.
Hivi ni vitu chache lakini ni vingi sana…kama anaweza kumlipa Ronaldo manake anaweza kuwalipa wachezaji wengi sana. Kama kawaida yake hashindiwi kuongeza Buggati nyingine wakati anazo karibia 4.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...