Licha ya mafanikio aliyoyapata kwenye timu mbalimbali ndani ya nchi tofauti lakini bado Jose Mourinho amekubali wazi kuhusu hiki kitu.
Ukimtoa Didier Drogba kuna veteran mwingine ambae
alitamani kuwa nae kwenye timu ni Steven Gerrard. Jose anasema kwamba alijaribu kumsaini Gerrad mara tatu lakini ilishindikana.
Lakini licha ya kumkosa Gerrad mara tatu bado Jose anasema anamkubali sana Gerrard kwa kile anachokifanya kwenye timu yake. Jose anasema kwamba alijaribu kumpata Gerrard akiwa Chelsea,Inter Millan hadi Real Madrid lakini zote zilifeli.
The special one huyu hapa kwenye video akizungumzia hicho kitu
No comments:
Post a Comment