Baada ya pambano la karne kufanyika na matokea kuwa mazuri kwa Floyd Mayweather swali aliloulizwa baada ya pambano ni kwamba atakua na pambano lingine akasema yes, mwezi wa tisa ana pambano.
Baada ya hapo alivyokua kwenye press conference alivyoulizwa nani utamtaka kwa ajili ya pambano lako la mwisho mwezi wa tisa. Mayweather alijibu kwa kifupi “Khan”.
Amir Khan ni bondia kutoka England ambae na yeye ni bondia maarufu na mara nyingi amehusishwa kuhusu pambano kati yake na Mayweather. Pambano hilo ndio litakua la mwisho kwa Money Money. “Baada ya pambano langu la mwezi wa tisa nita staafu kucheza tena boxing”.
No comments:
Post a Comment