07 May, 2015

DADA AKE ADEBAYOR AMPA KAVU KAKA YAKE.

DADA ADDE2
Baada ya status ya Adebayor ambayo ilishtua watu wengi kwenye mtandao hao mchezaji Didier Drogba alimpost Adebayor na kumuombea mambo ambayo yanaenda vibaya na familia yake yaende vizuri. Sasa kwenye ile ile post dada yake
Adebayor anaitwa Lucia Adebayor amemjibu akienda kinyume na status ya Ade.
Tafsiri yake kwa ufupi ni hii hapa,
“Endelea kuongopea kaka, yako wapi magari uliyompa mama. Umeyachukua yote. nyumba unayosema umemnunulia dada vyote ni uongo. Simu alizoiba Rotimi vyote ni uongo. Pesa sio kila kitu, sisi ni familia na hatukuitaji tena uwe peke yako na sisi tuwe peke yetu. Ukweli kwamba unazo sasa hivi lakini havikuhakikishi mambo ya kesho. Mungu akusamehe.”DADA ADDE

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...