09 May, 2015

VAN GAL AWALIMA WACHEZAJI FAINI WACHEZAJI WAKE WANAOCHELEWA MAZOEZINI

VSN
Ukiskia professional player haimaniishi kucheza vizuri na kutupi mpira nyavuni tu. Discipline ni kitu cha kwanza ambacho kila mchezaji anatakiwa kuwa na nacho.
Marouane Fellani akiwa kwenye interview alielezea jinsi gani kocha wako Van Gaal alivyomkali likija
swala la nidhamu. Fellani alielezea kisa kimoja kwamba Van Gaal aliwai kuwalima faini wachezaji kumi baada ya kuchelewa kwa dakika moja.
Hiyo dakika moja sio ya kuchelewa mazoezini bali ni ya kuchelewa kwenda canteen kula baada ya kufanya mazoezi.
Sasa haya mambo yakija bongo ni litakua balaa kabisa

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

TUPATIE MAONI YAKO KUPITIA FACEBOOK  HAPA>>>
 
1.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...