Mtandao wa Hits Daily Double umeripoti kuwa rapa Kanye West amesitisha mkataba wake na lebel ya Jay Z ya Roc Nation.
Kanye West amekuwa akisimamiwa yeye na
kazi zake na
Roc Nation ambayo ni lebel ya rapa/ rafiki yake Jay Z,
Kanye West pia ametayarisha album mpya ya Rihanna R8.
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa
habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na
KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE
TV.
No comments:
Post a Comment