03 May, 2015

Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao kazi imeisha !!

fight-8a_rnd_5_3289903b
Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.

Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweather kamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117 na Pacquiao ana points 111.wattt_3289915bKwa matokeo hayo Mayweather kaendeleza kuweka rekodi yake kubwa ya kutoshindwa pambano hata moja tangu amekuwa professional boxer.fight-6-a_rnd_2_3289901bfight-floyd-manny-_3289909bfight-floyd-win-be_3289919b

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...