Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Diamond kwenye video, na hizi ni dakika zake alizopewa na Diamond kwenye stage ya White Party iliyofanyika Mlimani City Dar es salaam.
Chek hii video hapa chini alafu uniambia ni kichekesho gani zaidi kimekuchekesha….
No comments:
Post a Comment