28 April, 2015
Mara ya mwisho Liverpool inashinda ubingwa wa ligi ya england wachezaji kama Phillipe Countinho, Jon Flanagan,Jordan Henderson,Raheem Sterling walikua bado hawajazaliwa.
Mara ya mwisho Liverpool inashinda ubingwa wa ligi ya england
wachezaji kama Phillipe Countinho, Jon Flanagan,Jordan Henderson,Raheem
Sterling walikua bado hawajazaliwa.
Tangu amshabiki wa Liverpool washangilie ubingwa wa ligi zimepita
siku 8750, maana yake ni
kwamba kuna asilimia kubwa ya mashabiki wa
Liverpool hawajawai kusherekea ubingwa wa EPL.
Kwa muda wote huo wamekua na manager 8,wametumia zaidi ya Pound
milioni 650 kwenye uhamisho wa wachezaji na baadhi yao ni Luis Suarez
Pound milioni 23, Torres Pound million 26.5,Xavi Alonso Pound milioni
10.5,Stewart Downing Pound milioni 20, Andy Carrol Pound millioni 35,
Alberto Aqualiani Pound millioni 17.
Tangu wakati huo Manchester wameshinda titles 13, Arsenal mara 4
,Chelsea mara 3, Leeds, Blackburn na Man City wameshinda mara 1.
Katika muda huo huo wa miaka hiyo yote Giggs amebadilisha
professional kutoka mchezaji hadi kocha, kacheza mechi 1000,kashinda
magoli 181 na kushinda mataji 35
Pia katika muda huo huo Jose Mourinho amekua kocha, amefundisha timu
6, ameshinda mataji makubwa 20 yakiwemo mawili ya EPL ambalo Liverpool
halijalionja miaka mingi iliyopita.
Katika huo huo muda ticket za kuangalia mechi ya Liverpool imepanda
kwa asilimia 1031. Mfano kutoka msimu wa 1989/90 bei ilikua pound 65
lakini sasa hivi ni pound 735
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment