28 April, 2015
Hii ndio sababu aliotoa Alex Ferguson kwa nn Ronaldo ni bora kuliko Messi.
Manager wa zamani wa Manchestet United na aliyechangia kwa kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya Cristiano Ronaldo amesema sentensi ambazo moja kwa moja zinamuweka Ronaldo juu zaidi ya Messi.
Ferguson anakiwa kwenye interview na BBC Sport alisema Messi ni mchezaji
wa Barcelona, Ronaldo ana cheza kwa miguu miwili na yupo so fast. Mzuri akiwa hewani na hata chini. Ronaldo anageweza kuwa mchezaji wa Millwall, QPR, Doncaster Rovers na angefunga hat trick.
Ronaldo na Messi kwa muda mrefu wametajwa kuwa ni wachezaji wa leveo ya juu duniani na kila mwaka Ballo d’Or huwa ni debate kati ya hawa wawili. Topic ya nani mkali inazungumziwa sana hivi sasa miongoni mwa watu mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment