Jay Z amejibu tuhuma za kuwa mtandao wake wa muziki
TIDAL umeanza kufa. Kupitia twitter yake Jay Z amesema mpaka sasa Tidal
ina watu waliojiandikisha 770,000 ndani ya mwezi mmoja tu.
Jay Z pia ameomba watu wampe ushirikiano na muda wao kwani kampuni kubwa kama Itunes haikujengwa siku mmoja
.
No comments:
Post a Comment