Mkali wa mchano ya rap ambae amejulikana
kutoka kwenye kundi la Young Money anaitwa Tyga. Huyu jamaa hivi sasa
ame-hit sana album ya Fan of Fan 2 hasa na wimbo wa Ayo akiwa na swahiba
wake Chris Brown.
Sasa huyu jamaa kumbe ni shabiki wa
Arsenal na alivyofika London akaziacha club zote na kwenda kufanya tour
kwenye uwanja wa Arsenal. Kwenye hiyo tour alikua na wachezaji wa
Arsenal kama Alex Oxlade-Chamberlain na Kieran Gibbs.
Baada ya tour hiyo alipewa jezi ya Arsenal
yenye jina Kingin ambalo ni jina anapenda sana kulitumia akiunganisha
maneno ya clothing line yake ya The Last King.
Hizi ni picha akiwa uwanjani baada ya kukabidhiwa jezi.
No comments:
Post a Comment