28 April, 2015

Diamond kuja na TV yake

94cfb-img_0080Msanii Diamond Platnumz amesema katika show ya ‘Zari All White Party’ itakayofanyika mwisho wa wiki hii  kutakuwa na vitu mbalimbali ikiwemo event yote kuruka Live.. kingine kumbe siku hiyo jamaa atazindua rasmi TV yake !!



Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...