Michuano ya
Kombe la FA ina ukongwe wake wa kutosha kabisa kwenye Historia ya Soka
la Dunia.. mpaka sasa imetimiza jumla miaka yake 144 tangu kuanzishwa
kwake.
Habari mpya kutoka ndani ya bodi ya kombe la hilo la FA ni kwamba kwa
sasa kuna mabadiliko kwenye jina kutoka FA Cup na kwa sasa litakuwa linaitwa Emirates FA Cup kufuatia mkataba mnono wa paundi milioni 30 ambao FA wameingia na Kampuni ya Emirates kwenye udhamini wa ligi hiyo.
Bodi ya FA imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Airlines kwa miaka mitatu, kesho itatangazwa rasmi juu ya mabadiliko rasmi.
No comments:
Post a Comment