28 April, 2015

Pacquiao atua Las Vegas na familia yake…

paaaUkitaja majina ya mastaa hawa Manny Pacquiao na Floyd Mayweather, kila mtu anashauku ya pambano la jumamosi ambalo linasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali duniani.
basiPambano hilo ambalo linatajwa kuwa na kifahari zaidi huku viingilio vikitajwa kuwa vya gharama sana litafanyika jijini Las Vegas na litawashirikisha mabondia hao maarufu dunianipa2Tayari maandalizi kwa pande zote mbili yamekamilika na kila mmoja anajiandaa kwa mara ya mwisho kabla ya kukutana ulingoni.


Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...