Rio amefiwa na mke wake ambae alisumbuliwa na cancer kwa muda mfupi. Rio anasema mke wake alikua mama mzuri kwa watoto wao watatu na atakumbukwa kama mke,dada,shangazi na mambo mengine mengi.
Ningependa kutoa shukrani kwa wataalam wote wakiongozwa na Pro Johnstone kwenye hospitali ya Royal Marsden wakijaribu kumsaidia mke wangu kwenye hili tatizo.
Rio Ferdinand na marehemu mke wa Rebecca Ellison walifanikiwa kupata watoto watatu Lorenz,Tate na Tia.
Rio akiwa na marehemu mke wake na watoto wae.
No comments:
Post a Comment