01 May, 2015

Picha,Rihanna na Chris Brown wameanza kuonekana pamoja tena.

Chris Brown and Rihanna attending an NBA  game in Los Angeles
Wapenzi walioweka rekodi ya kuachana na kurudiana mara nyingi zaidi Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.

Wawili hawa wameonekana kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa Travi$ Scott ya miaka 23 pamoja na mastaa wengine kama Kanye West na Die Antwoord.Travis-Scotts-Rodeo-Birthday-Party-with-Chris-Brown-and-Rihanna-Playing-with-Snake

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...