30 April, 2015

Young Killer "Mungu Baba" Official Video Ft. Linah | Ommy Dimpoz | Roma

KAZNStar wa Super Nyota 2012 kutoka Mwanza, Young Killer ameshasikika kwenye ngoma nyingi zake na nyingine ambazo kapewa collabo pia.. ni mkali ambaye tayari anafaamika kwenye  muziki.


Leo karudi na hii.. unadhani nayi itakuwa hit kama zilizotangulia??
List ya sauti za mastaa waliopewa collabo yuko LinahOmmy Dimpoz na Roma.. wimbo unaitwa  ‘Mungu Baba’  video imefanywa na director Khalfani…play hapa chini…

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...