26 April, 2015

Joh Makini ametuletea hii video yake mpya aliyoifanya South Africa.

Joh M  Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi
kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya
Nigeria (Sound City) lakini pia time hii karudi kwenye

headlines na
video yake mpya ya #nusunusu

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...