MPAKA dakika 90′ zinamalizika,
Arsenal wakiwa nyumbani wamemiliki mpira kwa asilimia 57 kwa 43 za
Chelsea, timu hizo zikitoka suluhu (0-0) katika mechi ya ligi kuu
iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates mjini London.
Chelsea walipiga mashuti matatu tu (3) yaliyolenga lango na Arsenal mashuti mawili (2).
Arsenal wamepata kona 6, Chelsea 2.
MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA LEO
No comments:
Post a Comment