Baada ya wimbo wake aliofanya kwaajili ya filamu ya Furious 7 “See
You Again” kushika namba moja kwenye chati ofauti duniani, rapa Wiz
Khalifa amefanya kitu kingine kikubwa kwenye mdundo wa ‘Sexual Healing’
ya Marvin Gaye ya mwaka 1982. Wimbo unaitwa “Good for Us,”
Tazama,Sikiliza na share na washkaji hapa.
No comments:
Post a Comment