12 April, 2015

Justin Timberlake na Jessica Biel

boyJustin Timberlake na Jessica Biel ni miongoni mwa mastaa ambao wapo kwenye uhusiano na kimapenzi na wamejipatia mashabiki wengi Hollywood, na sasa ni zamu yao kukaa kwenye headlines.
jesicaBaada ya safari ndefu ya uhusiano wao wa kimapenzi jana wamefanikiwa kupata mtoto wa kwanza wa kiume jana ambaye wamempa jina la Silas Randall Timberlake.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...