16 April, 2015

BACK IN THE TIME JOSLIN


Image result for wakali kwanza Wakati mwingine inabidi wasanii wetu hapa nchini wanapaswa kutizama walipotokea haswa pale msanii anaposhindwa kufanya vile vitu ambavyo alikua akivifanya enzi za uwezo wake hii inadhirika na ipo wazi yakwamba walikuepo wasanii kama wakali kwanza ambao walifanikiawa kuliteka soko la muziki hapa bongo ingawaje muziki haukuwa na dili kubwa kama ilivyo sasa.
Tujiulize yakwamba WAPO WAPI waliopotea. Chukua time yako mwanangu kuitazama vidio hii kutoka kwa JOSLIN


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...