Drake ametumia instagram yake kusema kuwa “Watu wasitafsiri kitendo chake vibaya ila hakutegemea kumbusu madonna ” .
Kwenye tamasha la Coachella mwanii mkongwe wa pop Madonna alikutanisha midomo yake na rapa mkubwa Drake wakiwa pamoja kwenye jukwa na kukamata attention ya watu wengi. Baada ya busu lao Drake alionekana kushtushwa na jambo hilo na
kushika mdomo kitendo ambacho kilitafsiriwa kama ni kutopenda busu la malkia huyo wa pop.
Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee
unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA
pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3,
facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere.
AKSANTE.
No comments:
Post a Comment