Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha
kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa
Meek Mil huku
Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.
Revolt Tv imeripoti kuwa wapenzi hawa wanaweza kuwa wamevalishana pete za uchumba baada ya miezi miwili ya mapenzi yao.Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.
No comments:
Post a Comment