Siku zinazidi kukatika kuelekea
pambano lenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, wengine
wanaliita pambano la karne baina ya bondia asiyepigika Flody Mayweather
na Manny Pacquiao litakalopigwa mei pili mwaka huu Las Vegas Marekani.
Habari mpya kutoka kwa Mayweather
ni kwamba baada ya pambano la mwezi mei amekiri kuwa ataongeza pambano
lingine moja mwezi septemba na baada ya hapo atastaafu mchezo wa
masumbwi.
Bondia huyo tajiri amesema sasa hafurahii tena mchezo huo na inamlazimu kukaa pembeni ili kufanya mambo mengine.
Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee
unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA
pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3,
facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere.
AKSANTE.
No comments:
Post a Comment