16 April, 2015

Noorah amemtambulisha huyu kama msanii mpya wa Chemba Squad.

one six
Msanii wa Chemba Squad Noorah ambaye kwa sasa anamatatizo ya kifya ndio maana hajafanya kazi za muziki wa muda mrefu amemtambulisha Rasmi msanii One Six kuwa ndio Msanii mpya wa kundi lao la Chemba Squad.
Chemba Squad linaundwa na  Noorah Na Dark Master baada ya kuondokewa na wasanii wao Mez B Na Albert Mangwea.

Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere. AKSANTE

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...