17 April, 2015

Imeripotiwa ajali nyingine ya Hiace Mbeya, Kamanda wa Polisi kathibitisha vifo vya watu–

CondolenxesBado hatujaisahau ajali ya basi la Majinjah Express iliyotokea eneo la Changarawe Iringa, watu 50 walifariki.. zikafuatia nyingine ikiwemoya basi jingine la Nganga Express ambayo nayo watu 15 walifariki, isikitisha wengi pia, wote waliofariki ilibidi wazikwe  kwenye kaburi moja kutokana na miili ya marehemu kuharibika kutokana na moto ambao uliunguza basi hilo.

Imeripotiwa toka Tukuyu Mbeya leo, Hiace ambayo ilikuwa imebeba abiria imepata ajali kwa kutumbukia mtoni, Kamanda wa Polisi Mbeya, RPC Ahmed Msangi amethibitisha kwamba watu 19 wamefariki kutokana na ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...