Ameshitakiwa na dereva wake wa zamani kwa
kile alichosema ni kutishiwa kuuwawa tena na bunduki ikihusika, yaani
kisa kilitoka siku saa tano usiku anamuendesha Lil Wayne.Kilichomkasirisha Wayne ni pale dereva huyo
alipoingia kwenye kituo cha mafuta kwa ajili ya kuweka mafuta, Wayne
akakasirika akaikoki mpaka bunduki na kumwambia dereva, ‘nipeleke hotelini haraka, sasa hivi‘ kitisho kilichomfanya dereva huyo kuondoa gari bila kuweka mafuta.
Dereva Mark Jones
anasema alikodishwa kumwendesha Lil Wayne na timu yake kwenye ziara ya
kimuziki mwaka 2014 na sasa kaamua kumshitaki Mahakamani.
Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee
unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA
pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3,
facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere.
AKSANTE.
No comments:
Post a Comment