16 April, 2015

BALOTELI MCHEZAJI BORA WA MWAKA...

baloteli 6
Mashabiki wa Man united Na Arsenal wamkejeli Baloteli kwa kumpigia kura ya mchezaji bora wa mwaka wa Liverpool.Mashabiki wa Liverpool watampigia kwa kutumia mtandao wa klabu yao.
Balotelli alisajiliwa kwa paundi million 16 akitokea Ac Milan majira ya kiangazi.
Amefunga magoli manne katika mechi 25 zote alizocheza Liverpool.

Msimu unapoendea kumalizika uongozi wa klabu ya Liverpool umeomba mashabiki wake wapige kura ya kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa katika mtandao wa klabu hiyo.baloteli 4

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...