14 April, 2015

Zitto Kabwe Hakamatiki Afunika Morogoro...

Mamia ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wa Chama Chake Cha ACT-Wazalendo
 Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini Morogoro kabla kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe hajaanza....
kuhutubia. 
Kiongozi wa chama hicho akiwahutubia wananchi. 
wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro.



Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere. AKSANTE.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...