Bao la dakika za usiku la Cesc
Fabregas limeiwezesha Chelsea kuvuna pointi tatu katika mechi ya ligi
kuu soka nchini England ugenini dhidi ya Queens Park Rangers (QPR).
Fabregas alifunga goli hilo pekee dakika ya 88′ katika mechi iliyopigwa jioni ya leo uwanja wa Loftus Road.
Ushindi huo umewafanya.....
Chelsea wazidi kuota mbaya kileleni wakijikusanyia pointi 73, pointi 7 dhidi ya Arsenal wenye pointi 66 katika nafasi ya pili.
Hata hivyo Chelsea wana mchezo mmoja mkononi kwani mechi ya leo ni ya 31 wakati Arsenal wameshacheza mechi 32.Chelsea wazidi kuota mbaya kileleni wakijikusanyia pointi 73, pointi 7 dhidi ya Arsenal wenye pointi 66 katika nafasi ya pili.
No comments:
Post a Comment