MECHI TATU ZA MANUEL PELLEGRINI 3 v MANCHESTER UNITED 0
Kocha
wa Manchester City, Manuel Pellegrini ana rekodi ya ushindi ya
asilimia 100 katika mechi zote 3 alizokutana na Manchester United tangu
arithi mikoba Roberto Mancini.
Manchester City 4-1 Manchester United, Septemba 2013
Sergio
Aguero alifunga magoli mawili katika ushindi wa kwanza wa Pellegrini
katika mechi ya watani hao wa jadi, wakati kocha mwingine aliyekuwa
anaiongoza kwa mara ya kwanza United kwenye mechi ya mahasimu, David
Moyes alishuhudia Man United ikisambaratishwa.
Manchester United 0-3 Manchester City, Machi 2014
Edin
Dzeko alifunga baada ya sekundu 45 tu Old Trafford na baadaye aliongeza
la pili na kuifanya City imalize msimu kwa kuichapa Man United mara
mbili.
Pellegrini labda anaweza kufikiria kumuanzisha leo Mbosnia huyo.
Manchester City 1-0 Manchester Utd 0, Novemba 2014
Kocha mpya Manchester United matokeo yale yale. Aguero alifunga goli pekee la ushindi
No comments:
Post a Comment