Nguli wa Muziki wa hip-hop na mkongwe katika game ya Muziki Snoop Dogg akishirikiana vyema na mkali mwingine kutoka pande hizo hizo za Marekani Wiz Khalifa wanatuletea brand new video inayo kwenda kwa jina la Kush Ups.
Itazame video hiyo na pia usisahau kushare na wana kitaa.
No comments:
Post a Comment