11 June, 2016

NEW VIDEO:”Ipo siku”,Goodluck Gozbert.

Goodluck Gozbert ni moja kati ya Watunzi na waandaji wa muziki wenye vipaji vya hali ya juu mno. Wengi Tumekuwa tukimfahamu kupitia kazi tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na Kuandika baadhi ya nyimbo wasanii kama vile Mo-Music, Baraka da.Prince pamoja na wasanii wengine.
Loli mwaa
Goodluck Gozbert
Katika Bongo Flava Tunamfahamu kama Loly Pop ila katika Gospel tunamtaja kama Goodluck Gozbert, na  hapa katuletea video yake mpya inayokwenda kwa jina la "Ipo siku", video iliyofanywa na Adam Juma wa Vissual Lab.
Huu ni moja kati ya wimbo unaogusa na kuwapa tumaini tulio wengi, ambao hali zetu za kiuchumi, kielimu, maisha kwa ujumla wake ziko chini. Naweza sema kwamba hata mimi nmeguswa na wimbo huu. Angalia Video hiiyo hapo chini kisha mshirikishe Rafiki, ndugu na wapenzi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...