06 June, 2016

Colabo kati ya Diamondi na Raymond inakuja?

Diamond na label yake mpya WCB yenye vichwa kama vile Harmonize, Raymond, Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen anazidi kuwa onyosha watanzania kwamba amepania kufanya kweli.Raymond na Diamond Katika ukurasa wake wa istagram Diamondi amethibitisha kwamba kuna Colabo kati yake na msanii wake Rymond inakuja. 
diamondplatnumzClick the link in @rayvanny ‘s BIO to Download his brand new Track #NATAFUTAKIKI …BTW, Ukiacha Collabo nlizofanya nje….. nafkiri Ngoma nilomshirikisha @rayvanny ndio inatawala sana kwenye Speaker za Gari yangu! Diamond na Raymond

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...