01 May, 2016

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Je huu ndio Muda uliopanga kubadili Maisha yako leo? Yawezekana ni "Ndio" . Maisha ni mafupi mno hivyo yakupasa kufanya kile ulicho-dhamiria kufanya katika maisha yako. Hamna haja ya kuishi katika maisha ya taabu kila siku "wewe siyo mpumbavu".


Vifuatavyo ni Viashiria sita ni kwa nini unapaswa kubadili Maisha yako Leo!
                            1.Acha Kuingoja Ijumaa.

Ijumaa huwaa ni nzuri kwa kweli maana wafanya kazi weengi walio ajiriwa hua wanapata ahueni na hata kupumua, Nimekua nikiliona hili katika maisha yangu ya kila siku na nimekua nikitafuta kazi ambayo itakua ikinipa Furaha ya kweli kila siku pasipo kuingojea Ijumaa. Kama umekua ukiishi katika maisha ya kuingojea Furaha ya ijumaa, kwa kweli yakubidi ubadili Life-style yako. Usininukuu vibaya katika hili maana nina sababu ni kwa nini nimesema hivyo..Je kama uliingojea ijumaa kupata furaha yako na ikawa ni kinyume na matarajio yako? We pata tuu picha...
Ni vigumu kuishi katika maisha ya  Furaha kama ulivyo tarajia lakini inawezekana kuishi maisha ya furaha hata JUMATATU pasipo hata kuingojea ijumaaa. Ukiona hivyo badili maisha yako.

                                2.You live for your vacations.

Utaweza kujiuliza ni kwa nini nimesema "You Live for your Vacations" ni kwa sababu maisha ulio nayo kwa sasa ni ya Muda tuu na huto-yaishi milele. Kipindi cha mabadiliko ni Kizuri pia lakini ni kwa nini usitengeneze Maisha yajayo leo? mtu mmoja Maarufu huko ughaibuni alisema “Instead of wondering when your next vacation is, maybe you should set up a life you don’t need to escape from.”  Kipindi cha mpito huaga muda mwingine kinaleta vichekesho na kuvutia but even better is building a life where you have the potential to do what lights you up many weeks of the year, not just your two allotted vacation weeks.

3.Pale unapo-koma na kufikiri, Unakua una shindwa kutazama maisha yako katika vipao mbele vyako.

Andika chini vitu vitatu unavyo-penda. Kisha andika vitu vitatu unavyo tizamia katika maisha yako, Je unaishi maisha yako katika Vipaombele hivyo ulivyo andika?
Consistently spending time doing what matters most to you is one of the keys to feeling fulfilled in your life. If you’re not focusing your life on what’s important to you, it’s time to make some changes.

4.Huna Idea yeyote inayo kuongoza, na wala huna nafasi katika maisha yako kuupata mwanga huo.


Kama ulishindwa kufahamu what is your passion katika maisha yako ya awali basi hutoweza kuifahamu katika maisha yako yajayo kama utaendelea na mtazamo na msimamo wa maisha yako ya sasa. Ili uweze kupata mwanga katika maisha yako, yakubidi uanze kutafuta nafasi kwa kuitafuta. Jipatie muda wa kujitafakari kua wewe ni nani, unakwenda wapi na nini kinacho kuvutia kufanya maishani mwako. Experiment with learning new things, spending time with inspiring people, and doing more of what excites you and less of the things that suck your energy.

5.Kila mara una kua na wivu.

Kama una muonea fulani wivu, kuna mambo matatu yakufanya kabla hujabadilika!

>Make a point to focus on your path instead of his or her journey. Sometimes this involves taking a break from social media.( na ndivyo ilivyo kwa tulio wengi)
>Jaribu kuwa inspired yule mtu unae-mwonea wivu na fanya vile vitu ambavyo ana fanya yeye na kufanikiwa.
>Decide what the other person has is not something you are willing to put in the effort to achieve, so you’ll cheer him or her on but choose to not be jealous.

6.  You can’t remember the last time you stepped out of your comfort zone.

According to Neale Donald Walsch, “Life begins at the end of your comfort zone.” Your life can become even more amazing if you stretch beyond your comfort zone. If you’re not sure where to start, try the tips in this article about small ways to step out of your comfort zone.
Life is too short to spend your years not living to your full potential. If you decide you’re ready to change your life, I encourage you to start taking small action steps toward the life you want to live. Keep moving forward.

UNAWEZA KUPITIA NA HIZI PIA

 1.Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa 'Kizomba dance'
 2. Sababu tano ni kwa nini Bongo flava ya Awali ilikuwa bora kuliko ya bongo 





Jiunge na watu 3000 walio chagua kujiunga na MTOKAMBALI ili kupata Makala Zetu kila Week-End moja kwa moja Kwenye simu yako BURE!

* indicates required

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...