Raper huyo mwenye album 13 za hip-hop na pia mwanzili wa Tv series kama vile "In the House" na pia amewahi kuonekana katika Movie "Krush Groove" na ile ya "Any Given sunday" amekuwa na kiu ya elimu.
Raper huyo yupo Boston katika chuo Cha Havard kitengo cha biashara, akijifunza ni namna gani ataweza kuendesha vyema katika industry ya Burudani.
Katika Ukurasa wake wa Twitter alipost picha kadhaa zikionyesha akiwa Class..
Akiwa na ProfessorI'm taking classes at the Harvard business school. You're never too cool to learn! @hbsexeced @harvardhbs 📷Kev.wolf pic.twitter.com/ZX37EyZ50t— LLCOOLJ. (@llcoolj) June 2, 2016
My Professor @anitaelberse is special.. Harvard #backtoschool @hbsexeced @HarvardHBS pic.twitter.com/Uw5VOzUfpU— LLCOOLJ. (@llcoolj) June 4, 2016
No comments:
Post a Comment