Kama wengi tunavyo fahamu kwamba Rapper Chid-Benzi aliathirika kwa madawa ya kulevya hali iliyo mpelekea afya yake kudhorora na hata yeye mwenyewe kuomba msaada katika hilo na hatimaye Akafanikiwa kupelekwa sober house huko bagamoyo, ambako alikaa kwa muda wa week 20 na hatimaye kutoka.
Katika ukurasa Cloudsfmtz huko istagram, ilionekana post yenye picha za muonekano mpya wa Rapper huyo zikiambataba na ujumbe
” Muonekano mpya wa Chidi Benz Chuma…@CloudsTv pekee inakuonyesha safari za mwana harakati @Kalapina kwenye hatua za kusaidia vijana kuachana na janga la dawa za kulevya kwenye show ya #Harakati. #HarakatiNiVitendo “Ukizitizama picha hizo kwa makini, utaona ni jinsi gan Afya ya Rapper huyo ikizidi kuimarika tofauti na hapo Awali.
No comments:
Post a Comment