10 June, 2016

Video: Sophia Grace-"Girl In the Mirror"

Sophia Grace, 13, Releases New Music Video for "Girl In the Mirror"
 Unawakumbuka hawa? Hapana shaka utakua unawakumbuka hawa mabinti... Sophia Grace na Binamu yake Rosie McClelland ambao walikuwa kivutio kikubwa katika Show ya "The Ellen DeGeneres Show." kwa kuonyesha uwezo mkubwa  wa Kurap ngoma nyingi za NiCk Minaj na ilitokana na mabinti hao kuvutiwa kweli kweli na Muzik wa Nick Minaj.

Imepita miaka mitano(5) sasa, tangu kuonekana katika show hiyo. Sophia Grace naye ana umri wa mika 13 kwa sasa ana anafanya Muziki wake, na Safari hii kaja na Ngoma mpya "Girl In the Mirror" aliyo mshirikisha Silento (yule wa "Watch Me (Whip/Nae Nae)"

   TIZAMA VIEO HIYO HAPO CHINI "Girl In the Mirror"

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...