07 June, 2016

Show ya Kanye West Kuvunjika

13319707_992084217571814_1948828614196625659_nWeek end ilikua ni siku ambayo rapper mwenye jina kubwa na Mafanikio Kanye West alipaswa kufanya show katika Ukumbi wa Webster Hall huko New York, ila show hiyo ililazimika kuvunjwa sababu ya idadi kubwa ya mashabiki wapatao 4000 wakijitokeza ilhali ukumbi huo haukuwa na uwezo wa kubeba idadi kubwa zaidi ya watu 1500.show hiyo ilifutwa kwa ajili ya Usalama.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...