|
Ariana Grande |
Baada ya mwezi kupita toka Big Sean ameachana na mpenzi wake Ariana
Grande, wawili hawa wamekuwa wakijibu maswali kuhusu mahusiano yao kwa
hasira tofauti na ilivyotangazwa awali.
Big Sean alisema ‘Ariana na mambo ya kitoto na kwamba anatumia pesa
vibaya , huku Ariana akijibu
Big Sean hakumjali yeye kama mpenzi wake na
kwamba alimumiza roho kwenye mashairi ya wimbo wake “Stay Down”.
Jipya ni kwamba Ariana Grande anaonekana kuwa mwenye raha ya kuwa
peke yake kuliko Big Sean na hivi karibuni aliulizwa na paparazi kuhusu
Big Sean ,jibu lilikuwa “
I’m officaly chilling, I’m happy.”
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa
habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na
KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV
No comments:
Post a Comment