Nyota Huyu wa MCHEZO wa MIELEKA(WRESTLING), Juma tatu tarehe 11,2015, alitangaza rasmi kuachana na MCHEZO HUO badaada ya DAKTARI wake kumuambia yakwamba Afya yake haitomruhusu kuendelea na mchezo huo.Zaidi ya Yote Nyota huyo ambae anashikilia taji la
INTERCONTINENTAL Aliachia taji hiyo uwanjani na kuwaaga mashabiki. YES, YES, YES, YES ndio mtindo wake aliokua akitumia wakati anapokua ulingoni>> ITAZAME VIDEO HII WAKATI ALIPOKUA AKIWAAGA MASHABIKI WAKE>>>
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV
No comments:
Post a Comment