
Burundi kwa sasa iko kwenye vichwa cingi vya habari kutokana na hali ya machafuko ambayo ilijitokeza baada ya Rais
Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wa kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.

Jaribio la kutaka kumpindua madarakani wakati akiwa Tanzania kwenye
mkutano wa usuluhishi pamoja na Marais wengine wanaounga Jumuiya ya
Afrika Mashariki halikufanikiwa na sasa uamuzi uliofikiwa ni kuahirishwa
kwa uchaguzi wa Wabunge.

Kingine kilichonifikia leo ni kwamba pamoja na machafuko yanayoendelea
nchini humo Rais huyo kaonekana yuko zake uwanjani na wenzake akicheza
mpira.

Mtu mmoja amepigwa risasi ya mgongoni na askari wanaolinda usalama katika mji wa Bujumbura wakati wakiandamana.
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa
habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na
KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV
No comments:
Post a Comment