Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
19 May, 2015
NICK MINAJ PAMOJA NA BEYONCE WAMEANZA KUTENGENEZA VIDEO YA WIMBO WAO UITWAO ‘Feeling Myself’ ZITAZAME HAPA PICHA NA KIPANDE CHA VIDEO HIYO
Ni collabo chache sana utakuta zinawahusu mastaa wa kike peke yake kutoka pamoja, lakini safari hii wadada hawa Nick Minaj na mwenzake Beyonce wameamua kushirikiana pamoja.Kwa wakati mmoja wametoa behind the scenes na sehemu ya Video ya wimbo wao mpya ‘Feeling Myself’ kupitia kampuni ya Tidalinayosambaza kazi za muziki na kwa sasa ipo kwenye mitandao mbalimbali.
PONYEZ PLAY KUKIONA KIPANDE HICHI>>>
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa
habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na
KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV
No comments:
Post a Comment