19 May, 2015

List ya Majina ya wanaogombea BET AWARDS hii hapa AKIWEPO MTANZANIA MWENZETU.

millen-magese
Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo nyingi ambazo zimebebwa na mastaa kama AYVanessa Mdee na Diamond Platnumz.. Kama bado hujajua ni kwamba mwaka huu pia kuna jina la Mbongo wetu mmoja kwenye walioteuliwa kwenye Tuzo za BET 2015. YES.. Jina jingine sio kwenye muziki tena, ni
Supermodel wa kwetu kwenye Fashion duniani, Millen Magesse ambaye ameteuliwa kwenye kipengele kipya cha BET ambacho ni BET Global Good Award.
List yote iko hapa, utaliona na jina la Millen.
BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA
Aka (South Africa)
Fally Ipupa (Dr Congo)
Sarkodie (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Stonebwoy (Ghana)
The Soil (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
NEW CATEGORY BET GLOBAL GOOD AWARD
Millen Magese (Tanzania)
BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
BEST MALE R&B/POP ARTIST
August Alsina
Chris Brown
John Legend
The Weeknd
Trey Songz
Usher
BEST GROUP
A$Ap Mob
Jodeci
Migos
Rae Sremmurd
Rich Gang
Young Money
BEST COLLABORATION
August Alsina F/ Nicki Minaj – No Love (Remix)
Big Sean F/ E-40 – Idfwu
Chris Brown F/ Lil Wayne & Tyga – Loyal
Chris Brown F/ Usher & Rick Ross – New Flame
Common & John Legend – Glory (From The Motion Picture “Selma”)
Mark Ronson F/ Bruno Mars – Uptown Funk
BEST MALE HIP HOP ARTIST
Big Sean
Common
Drake
J. Cole
Kendrick Lamar
Wale
BEST FEMALE HIP HOP ARTIST
Azealia Banks
Dej Loaf
Iggy Azalea
Nicki Minaj
Tink
Trina
VIDEO OF THE YEAR
Beyoncé – 7/11
Big Sean F/ E-40 – Idfwu
Chris Brown F/ Lil Wayne & Tyga – Loyal
Chris Brown F/ Usher & Rick Ross – New Flame
Common & John Legend – Glory (From The Motion Picture “Selma”)
Nicki Minaj – Anaconda
VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR
Benny Boom
Beyoncé, Ed Burke & Todd Tourso
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
BEST NEW ARTIST
Bobby Shmurda
Dej Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith
Tinashe
BEST GOSPEL ARTIST
Deitrick Haddon
Erica Campbell
Fred Hammond
Lecrae
Mali Music
Michelle Williams
BEST ACTRESS
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
BEST ACTOR
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollett
Kevin Hart
Terrence Howard
YOUNGSTARS AWARD
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis
Quvenzhané Wallis
Zendaya
BEST MOVIE
Annie
Beyond The Lights
Selma
Think Like A Man Too
Top Five
SPORTSWOMAN OF THE YEAR
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams
Skylar Diggins
Venus Williams
SPORTSMAN OF THE YEAR
Chris Paul
Floyd Mayweather, Jr.
Lebron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry
VIEWERS’ CHOICE AWARD
Beyoncé – 7/11
Dej Loaf – Try Me
Kendrick Lamar – I
Nicki Minaj F/ Drake, Lil Wayne & Chris Brown – Only
Rae Sremmurd F/ Nicki Minaj & Young Thug – Throw Sum Mo
The Weeknd – Earned It (From The “Fifty Shades Of Grey” Soundtrack)
CENTRIC AWARD
Avery Sunshine – Call My Name
Jazmine Sullivan F/ Meek Mill – Dumb
Mark Ronson F/ Bruno Mars – Uptown Funk
Sam Smith F/ Mary J. Blige – Stay With Me
The Weeknd – Earned It (From The “Fifty Shades Of Grey” Soundtrack)
BEST INTERNATIONAL ACT: UK
FKA Twigs
Fuse Odg
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy
Millen ni nominee pekeyake kwenye Category hiyo.. kwa maana nyingine Tujiandae kumshuhudia akipokea Tuzo hiyo June 28 2015  Los Angeles Marekani.
Tuzo hiyo ni ya heshima kwa Millen kutokana na mchango wake na kujitolea kwenye Jamii.

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...