Manage wa klabu ya Napoli Rafael Benitez anategemewa kuwa bosi mpya wa klabu ya Real Madrid kwa mujibu wa bbc sports. Bosi wa Real Madrid wa sasa Carlo Ancelotti anategemewa kumaliza muda wake baada ya mechi yake dhidi ya Getafe. Mkataba wa
Napoli na Benitez Napoli unaisha mwezi wa sita 2015, ila klabu zingine zilizonyesha kumtaka Benitez ni West Ham.
No comments:
Post a Comment