21 May, 2015

ABDU KIBA NAE KAONA SIO VYEMA KUMUACHA MTOTO RUBY HIVI HIVI WAMETULETEA WIMBO WAO TUUSIKILIZE

RUBY
Abdu Kiba safari hii ameamua kumshirikisha kinda anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Ruby katika nyimbo yake mpya ya ‘Ayayaa’. Kutokana na sauti yake nzuri Ruby ameshiriki vyema kweye Single hii.  Nakukaribisha kuisikiliza hapa.>>>



No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...