23 May, 2015

Categories zote za MTV Africa Music Awards 2015

mamaTuzo baada ya Tuzo..  Hii sasa ni MTV Africa Music Awards 2015 zinarudi tena kwa msimu wa tano.
Tujiandae kuwaona mastaa kwenye Red carpet South Africa ambako Tuzo za MTV zitakuwa zinatolewa pale Durban International Convention Centre July 2015.

Hapa nina categories zote zilizotambulishwa.
 MTV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...