Billboard Awards 2015 zimefanyika
tayari.. list ya washindi wote tayari imefahamika, lakini kingine
ambacho ningependa kukusogezea ni hizi video za wakali waliofanya poa
kwenye stage ya MGM Grand Garden Arena Las Vegas, Marekani.
Unaweza kuzicheki hizi tano hapa za akina Kanye West, Nicki Minaj, Wiz Khalifa, Britney Spears na Mariah Carey.
No comments:
Post a Comment